Skip to main content
Skip to main content

Imamu Omar Athman afikishwa mahakamani jijini Nairobi kwa ulaghai wa safari za wakenya kwenda Hajj

  • | Citizen TV
    4,204 views
    Duration: 3:25
    Imamu Omar Athman aliyehusishwa na ulaghai wa safari za wakenya kwenda Hajj nchini Saudi Arabia atajua hatma ya endapo ataachiliwa au la hapo kesho. Imam Omar alifikishwa mahakamani kwa madai ya ulaghai wa zaidi ya shilingi laki saba katika mpango wa kuandaa safari ya kwenda kuhiji Mecca. Kufuatia kukamatwa kwake, waathiriwa wengine wanaodai kulaghaiwa wamejitokeza katika vituo mbalimbali vya polisi kurekodi taarifa.