- 16,894 viewsDuration: 28:10Taifa la Bangladesh linajiandaa kupiga kura wiki hii katika uchaguzi wake wa kwanza tangu vuguvugu la mapinduzi ya vijana lilipoiangusha serikali ya Awami League. Wanafunzi walijitokeza mwaka 2024, huku wakikabiliana na msako mkali uliosababisha vifo vya hadi watu 1,400, kulingana na Umoja wa Mataifa. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw