Skip to main content
Skip to main content

Kamera za siri katika vyumba vya hoteli

  • | BBC Swahili
    10,756 views
    Duration: 1:57
    Uchunguzi wa BBC umegundua mtandao wa kamera zilizofichwa zikirekodi watu kwa siri katika vyumba vya hoteli nchini China. Kwa zaidi ya mwaka mmoja, mwandishi wa BBC aliingia kwenye chaneli ya Telegram na kushtuka kugundua video za matukio ya siri ya wageni wa hoteli zikirushwa bila idhini yao. Nasteha Mohamed anasimulia mkasa huu; #bbcswahili #china🇨🇳 #Hotel #uhalifu #ponografia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw