Skip to main content
Skip to main content

Magavana na maseneta warushiana cheche kali

  • | Citizen TV
    390 views
    Duration: 3:31
    Baraza la magavana sasa limetangaza kususia vikao vyote vya kamati ya uhasibu ya bunge la seneti, wakidai kuitishwa hongo na kuhangaishwa bungeni. Magavana wakilaumu maseneta kwa kile wanachosema ni kuharibiwa muda mwingi. Hata hivyo, wanakamati hao wakiongozwa na seneta wa homa bay moses kajwang’ wamepuuzilia mbali madai hayo wakisema ni njama yao tu ya kukwepa uwajibikaji.