10 Feb 2026 1:33 pm | Citizen TV 230 views Familia moja katika Kijiji cha Rianchogu Bomachoge Chache kaunti ya Kisii inalilia serikali kuwasaidia baada ya mwanao, Frasha OGACHI ONTIRI mwenye umri wa miaka 28 kuaga dunia huko Dubai.