Ifahamu China: Tiba ya Jadi ya Kichina yapata umaarufu duniani huku uzalishaji wa ndani ukiongezeka

  • | KBC Video
    8 views

    Tiba ya Jadi ya Kichina (TCM) imeendelea kupata umaarufu duniani, huku Mji wa Bozhou ulioko mkoa wa Anhui, mashariki mwa China ukishuhudia ukuaji halisi katika uzalishaji na usafirishaji wa dawa za chapa ya Kichina.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #KenyaElection2022 #News #IfahamuChina #TheGreatKBC