Skip to main content
Skip to main content

Nyaraka za Jeffrey Epstein: Ghislaine Maxwell akataa kutoa ushahidi bungeni. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    12,475 views
    Duration: 28:10
    Mawakili wa Ghislaine Maxwell, mshirika wa mhalifu wa makosa ya ngono Jeffrey Epstein wanasema mteja wao atazungumza ukweli kikamilifu, ikiwa tu Rais wa Marekani Donald Trump atatoa msamaha kwake. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw