- 770 viewsDuration: 2:59Serikali inasema itawachukulia hatua walimu ambao walikosa kuweka wazi idadi ya wanafunzi shuleni mwao, ikibaini wanafunzi hewa laki tisa nchini. Wizara ya elimu na tume ya kuwaajiri walimu pamoja na afisi ya mkurugenzi wa idara ya upelelezi wameanza mchakato wa kuwaadhibu au kuwafungulia mashtaka maafisa wa elimu 62, wakiwemo walimu wakuu 14.