- 4,401 viewsDuration: 2:30Muathiriwa mmoja miongoni mwa watu watatu waliopigwa risasi na afisa wa polisi mtaani huruma hapa jijini nairobi amehadithia kilichojiri wakati walipokabiliwa na polisi. Aidha muathiriwa huyo leila roba angali anauguza majeraha baada ya tukio hilo. Walioshuhudia kisa hicho wanadai polisi aliyefyatua risasi hiyo hakukusudia kuwapiga watatu hao risasi.