- 1,556 viewsDuration: 2:32Mahakama kuu jijini Nairobi imedinda kupokeza urithi wa marehemu Jaji David Majanja kwa kakake mdogo ikisema hela hizo zitagawanywa kulingana na sheria za urithi. Martin aluvisia Majanja alienda mahakamani kudai urithi huo wa shilingi milioni 22.