- 5,155 viewsDuration: 56sKiongozi wa Democratic Action Party-Kenya (DAP-K) Eugene Wamalwa pamoja na Naibu wake ambaye pia ni Gavana wa Trans Nzoia, George Natembeya, wamekemea vikali hatua ya kamati ya ODM kumtema Edwin Sifuna, kama katibu mkuu , wakisema hatua hiyo si ya haki na kuwa inakiuka misingi ya demokrasia.Wakizungumza Kiminini Trans Nzoia, viongozi hao wanasema Sifuna aliondolewa kwa sababu ya kutoa maoni yake. Walionya kuwa vitendo vya aina hiyo vinaweza kuirudisha Kenya nyuma katika safari yake ya kuimarisha demokrasia.