- 10,005 viewsDuration: 1:10Baadhi ya Wabunge na maseneta kutoka kisii wamekashifu kubanduliwa kwa seneta wa Nairobi edwin sifuna kama katibu mkuu wa chama cha odm wakisema kuwa wanaunga mkono demokrasia ndani ya vyama vya kisiasa. wajumbe hao wamesema kuwa sifuna ana haki ya kismingi ya kujieleza kuhusu masuala ambalimbali ya kifaifa kwa niaba yake na kuwa hakukiuka nidhamu za chama ili kutimuliwa.