Skip to main content
Skip to main content

Gavana wa Muranga Irungu Kang'ata ajiwasilisha Kuhojiwa na CPAC

  • | Citizen TV
    5,159 views
    Duration: 2:15
    Kamati ya seneti kuhusu uhasibu inamhoji gavana wa murang'a Irungu Kang'ata kuhusiana na matumizi ya fedha za kaunti hiyo. Kang'ata amejiwasilisha mbele ya kamati hiyo licha ya baraza la magavana kuapa kuwa magavana hawatahudhuria vikao vya kuhojiwa kuhusiana na utumizi wa pesa za kaunti kw amadai kuwa maseneta wanawaitisha hongo.