Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa murang'a waikosoa ODM, kwa kuipinga kukata kiti cha unaibu Rais

  • | Citizen TV
    4,253 views
    Duration: 2:09
    Baadhi ya wabunge wa kaunti ya Murang’a wamesema kuwa hawatakubali Chama cha ODM kupewa nafasi ya unaibu Rais kwenye kinyang'anyiro cha mwaka wa 2027. Wakizungumza wakati wa ufunguzi wa ujenzi wa Makuyu ICT Hub, wamewataka viongozi wa ODM kufanya kazi na kutatua tofauti zilizoko ndani ya chama chao kabla ya kuanza kutaka nafasi ya Naibu Rais. Aidha wamemtaka rais mstaafu Uhuru Kenyatta aache kuingilia masuala ya siasa.