Skip to main content
Skip to main content

Familia 300 Wajir zimepokea msaada wa chakula

  • | Citizen TV
    244 views
    Duration: 1:45
    Huku ukame ukiendelea kuathiri sehemu za Kaunti ya Wajir, familia 300 zinazoishi katika mazingira magumu eneo la Qahira, Wajir Mashariki, zimepokea msaada wa chakula.