- 518 viewsDuration: 3:43Asilimi 80 ya kaunti ya Kajiado inatarajiwa kupokea kiwango cha chini ya wastani cha mvua kuanzia mwezi machi wakati mvua za masika zitakapoanza kunyesha kote nchini. Hayo ni kwa mujibu wa Ubashiri wa kitamaduni uliofanywa na wazee wa jamii ya maasai.Wazee hao walimchinja mbuzi na kutumia matumbo kutabiri hali ya hewa, Wanasayansi wanasema sehemu nyingi zitapotokea mvua ya chini ya wastani. Robert Masai na mengi zaidi.