Skip to main content
Skip to main content

Waandishi wa habari kutoka pwani wamefanya maandamano ya amani kuadhimisha siku ya redio duniani

  • | Citizen TV
    543 views
    Duration: 3:50
    Waandishi wa habari kutoka pwani, chini ya mwavuli wa coast media fc, wamefanya maandamano ya amani kuadhimisha siku ya redio duniani. Maandamano hayo yalianza katika maeneo ya mapembeni katikati mwa jiji la mombasa hadi katika uwanja wa burhania, ambapo wanahabari walishiriki michuano ya kandanda ili kutoa hamasa kuhusu uhuru wa wanaharabari.