Skip to main content
Skip to main content

Walimu wa KUPPET walalamikia kampeni za kuwagawanya

  • | Citizen TV
    185 views
    Duration: 1:45
    Baadhi ya walimu wanachama wa muungano wa KUPPET tawi la Nyamira, wanadai kuwa baadhi ya walimu wakuu kuwashurutisha walimu kuwapiga kura wanaowania viti katika chama hicho kwa misingi ya maeneo wanayotoka.Walimu hao wametoa makataa kwa wanaopanga kuhitilafiana na uchaguzi huo, wakitaka kampeni na uchaguzi wa amani.