13 Feb 2026 2:16 pm | Citizen TV 381 views Duration: 1:58 Wakulima katika maeneo bunge ya Kipipiri na Kinangop wanakadiria hasara kubwa ya mamilioni ya pesa kutokana na kuharibika kwa mimea mashambani.