13 Feb 2026 2:22 pm | Citizen TV 157 views Duration: 2:12 Kundi la wanaharakati, wahudumu wa afya, na wahisani kutoka kaunti ya Nandi wamefanya matembezi ya hisani ya kilometa 40, kuanzia mjini Kapsabet kuelekea Eldoret, ili kutoa hamasa kuhusu umuhimu wa kutoa damu.