Skip to main content
Skip to main content

SHA: mgonjwa akwama India

  • | Citizen TV
    794 views
    Duration: 2:05
    Ahadi za afya bora kwa wote chini ya bima ya SHA zimegeuka msumari wa moto kwenye vidonda vya wagonjwa wanaotafuta matibabu ya kitaalamu ughaibuni. Ndio hali inayomkabili mwalimu mmoja ambaye amejipata kwenye njia panda katika hospitali moja nchini India ambako amekuwa akisubiri matibabu kwa miezi mitatu.