- 27,411 viewsDuration: 2:27Raia aliyemkimbilia Rais William Ruto jukwaani hapo jana huko Wajir na kuhatarisha maisha ya rais alikamatwa leo na kuhojiwa na maafisa wa polisi wakitaka kujua sababu ya vitendo vyake. Kama anavyoarifu Emmanuel Too, miundo ya majukwaa ya Rais Ruto yamechangia visa hivyo kuongezeka Rais Ruto anapoendelea na kampeni ya kuchaguliwa kwa muhula wa pili.