- 372 viewsDuration: 2:20Baadhi ya mawakili na wanagenzi wa sheria waliandamana jijini nairobi kulalamikia visa vya dhuluma za ngono. Mawakili hao waliotatiza usafiri kwenye barabara ya Gitanga, wanasema kuwa licha ya kuwasilisha malalamishi, hatua dhidi ya mawakili wanaodaiwa kuhusika hazijachukuliwa. LSK imethibitisha kupokea malalamishi na kupendekeza kesi hizo kufuatwa na DCI.