- 383 viewsDuration: 2:03Wanahabari katika mataifa mbalimbali na humu nchini walisherehekea siku ya redio duniani kwa matembezi ya amani wakishinikiza uhuru wa uanahabari. Aidha wWanahabari katika mataifa mbalimbali na humu nchini walisherehekea siku ya redio duniani kwa matembezi ya amani wakishinikiza uhuru wa uanahabari. Aidha wanahabari waliitaka serikali kufanikisha uhuru huo wa kikatiba. dhamira ya mwaka huu ilikuwa ni utumizi wa akiliunde kwente tasnia ya uanahabari. anahabari waliitaka serikali kufanikisha uhuru huo wa kikatiba. dhamira ya mwaka huu ilikuwa ni utumizi wa akiliunde kwente tasnia ya uanahabari.