Visa vya watu kuporwa vyaongozeka mijini

  • | K24 Video
    142 views

    Kupanda kwa gharama ya maisha na uhaba wa chakula kunadaiwa kuchochea ongezeko la uhalifu. Hii ni kulingana na shirika la kitaifa la kutetea haki za binadamu ambalo linalaumu vitengo vya usalama kwa kushindwa kutekeleza wajibu wao wa kudumisha usalama kwa wote.