Skip to main content
Skip to main content

Naibu Rais apuuza siasa kuhusu wadhifa wake 2027

  • | Citizen TV
    2,880 views
    Duration: 3:18
    Naibu Rais Kithure Kindiki amejitenga na mdahalo unaoendelea kuhusu nafasi ya naibu Rais, akisema kwamba ataendelea kuzingatia majukumu yake ya kumsaidia rais Ruto kutekeleza maendeleo nchini. Kindiki amesema ajenda yake kuu kwa sasa ni kushirikiana na rais katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya serikali, huku mdahalo kuhusu nafasi ya naibu rais ukiendelea kushika kasi katika majukwaa ya siasa,