Skip to main content
Skip to main content

Kinara wa ODM Oburu Oginga aongoza mkuano mjini Mombasa

  • | Citizen TV
    11,725 views
    Duration: 3:16
    Nao wanasiasa wa mrengo wa ODM unaoongozwa na kinara Oburu Oginga wamepuuzilia mbali mkutano huo ulioongozwa na katibu kuu wa chama hicho Edwin Sifuna huko kitengela wakiutaja kama uasi wa chama hicho. Mrengo huu ukimtaka Sifuna na kundi lake kuondoka chamani na kukoma kutumiwa na wapinzani wao kuvuruga umaarufu wa chama hicho.