- 23,091 viewsDuration: 43:09Kamati ya bunge kuhusu masuala ya kigeni inamhoji Ida Betty Odinga kuhusiana na kuteuliwa kwake na Rais William Ruto kama balozi wa kudumu wa kenya katika Shirika la umoja wa mataifa kuhusu mazingira (UNEP) yenye makao yake eneo la Gigiri jijini Nairobi. Ida ni mjane wake Hayati Raila Odinga na amekuwa akijihusisha na masuala mbalimbali ya uongozi wa wanawake.