Skip to main content
Skip to main content

Kituo kipya cha polisi chazinduliwa katika eneo la Chandira Turi, Molo

  • | NTV Video
    733 views
    Duration: 2:43
    Wakazi wa Chandira Turi, Molo, wameonyesha furaha baada ya serikali kufungua kituo kipya cha polisi na kumteua OCS atakayekiendesha, kama sehemu ya mpango wa kuimarisha usalama katika kaunti ndogo ya Molo. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya