Skip to main content
Skip to main content

Waasi wanyolewa bungeni, watetezi wapya wapewa kamati nzito

  • | Citizen TV
    7,483 views
    Duration: 2:41
    Baadhi ya wabunge wanaopinga serikali wameondolewa kutoka kwa baadhi ya kamati zenye ushawishi mkubwa katika bunge la kitaifa, watetezi wapya wa serikali wakipewa nafasi hizo.Katika mabadiliko hayo, mbunge wa Suba South Caroli omondi ameondolewa katika wadhfa wake wa mwenyekiti wa kamati ya utekelezaji wa katiba, serikali ikiendelea kufyeka bungeni.