- 34,434 viewsDuration: 58sKufuatia mashambulizi ya pamoja ya Marekani na Israel dhidi ya Iran asubuhi ya Jumamosi, Tehran ilijibu kipigo kwa kulenga washirika wa Marekani. Je mzozo huu una maana gani kwa afrika? Mchambuzi wa masuala ya kimataifa Ibrahim Rahbi amezungumzia hilo #bbcswahili #marekani #iran Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw