- 36,928 viewsDuration: 1:09Takribani moja ya tano ya uzalishaji wa mafuta ghafi duniani hupitia Mlango-Bahari wa Hormuz, Sasa huenda ukafungwa na Iran kutokana na mzozo unaoendelea kati ya Israeli na Marekani dhidi ya Iran Je kufungwa kwa Mlango-Bahari huu kutaiathiri vipi dunia? Munira Hussein anaelezea #bbcswahili #iran #israel Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw