Skip to main content
Skip to main content

Junet na Joho watimuliwa azimio, wafuasi wa William Ruto pia waondolewa

  • | Citizen TV
    16,301 views
    Duration: 2:47
    Kinara wa Azimio la Umoja One Kenya Kalonzo Musyoka amewaondoa baadhi ya viongozi wa odm walioteuliwa kwenye baraza la mawaziri kutoka kwa uongozi wa muungano huo. Mbali na Azimio kumuondoa Hassan Joho na Wycliffe Oparanya, kiongozi wa wachache bunge la kitaifa Junet Mohammed naye amepigwa shoka.