- 5,174 viewsDuration: 3:31Watu wawili wameuwawa katika kipindi cha wiki moja iliyopitahuko Nakuru, wa punde zaidi ni mfanyakazi wa kampuni ya Kenya Power Ambrose Omondi aliyefariki jumapili baada ya kudungwa kisu alipokuwa akielekea kazini. Haya yamejiri huku wakazi wakilalamikia utovu wa usalama.