Skip to main content
Skip to main content

Timu 21 zashiriki Thika katika mashindano ya karate Nakuru

  • | Citizen TV
    198 views
    Duration: 2:01
    Katika kaunti ya Nakuru, mchezo wa karate uliandaliwa siku ya jumapili katika uwanja wa menengai nakuru mashariki ikiwa ni matayarisho na kuchagua timu ya kuwakilisha kaunti ya nakuru katika michuano ya kitaifa ya kenya open ambayo inatarajiwa kufanyika baadaye mwezi huu. Mashindano yatafanyika tarehe 27 hadi 28 mjini thika, na yanatarajiwa kuvutia timu zaidi 21 na wachezaji 250 kwa jumla wakishiriki katika viwango tofauti.