Familia kadhaa katika eneo la Mathare North zimewachwa bila makao baada ya nyumba zao kusombwa na maji. Zaidi, maji ya taka yameziacha nyumba nyingi zikiwa si salama kuishi huku wenyeji wakisema kinachowasumbua zaidi ni msongo wa mawazo kwani hawajui waanzie wapi.
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya