25 Aug 2025 1:18 pm | Citizen TV 12,755 views Duration: 1:50 Maafisa wa polisi katika eneo la Kikuyu wameanzisha uchunguzi wa kifo cha mwanaume ambaye mwili wake ulipatikana kando ya barabara kuu ya Nairobi kwenda Nakuru katika eneo la Muthiga.