- 287 viewsDuration: 2:13Wizara ya Hazina ya Kitaifa imezindua mchakato wa kuunda Bajeti ya mwaka wa 2026-2027. Akizindua hafla hiyo katika ukumbi wa KICC hapa jijini Nairobi, Waziri wa Fedha John Mbadi ameeleza hatua ambazo serikali imepiga kuboresha uchumi wa taifa na mikakati iliyopo ya kuendeleza juhudi hizo.