Andrew Tate ashikiliwa Romania, akata rufaa

  • | VOA Swahili
    54 views
    Andrew Tate mwenye ushawishi mkubwa na mchezaji wa zamani wa kick boxing anazuiliwa nchini Romania kwa tuhuma ya uhalifu wa kupanga biashara haramu, ya usafirishaji binadamu alifikishwa katika mahakama ya Budarest Jumatano. Ungana na mwandishi wetu kwa habari kamili za nyota huyu... #andrewtate #mchezaji #kickboxing #romania #bucharest #uhalifu #biasharaharamu #usafirishajibinadamu #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.