Viongozi katika eneo la Mandera Kaskazini watoa wito kwa rais kutangaza ukame kuwa janga la kitaifa

  • | KBC Video
    71 views

    Baadhi ya viongozi eneo la Mandera Kaskazini wanatoa wito kwa rais kutangaza ukame uliokithiri humu nchini kuwa janga la kitaifa. Viongozi hao wamesema kwa misimu mitano mfululizo mvua haijanyesha katika eneo hilo na sasa wakazi wanahangaika.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #ukame #News