Jamii ya watu wanaoshi na ugonjwa wa kiakili wa bipolar na madaktari wataka usaidizi kwa serikali

  • | K24 Video
    66 views

    Jamii ya watu wanaoshi na ugonjwa wa kiakili wa bipolar pamoja na madaktari wanaitaka serikali kusaidia wagonjwa hao na pia kutoa hamasa kukomesha unyanyapaa katika jamii. Wadau mbali mbali walikusanyika katika kaunti ya Uasin Gishu kwa maadhimisho ya siku ya bipolar.