Hasara ya maandamano kwa wafanyibiashara jijini

  • | K24 Video
    129 views

    Hatua ya kinara wa Azimio Raila Odinga kukubaliana na wito wa rais kuhusu kusitisha maandamano na kuingia katika mazungumzo ya nia njema na serikali kuhusu utatuzi wa baadhi ya matakwa yake imepongezwa na wafanyibiashara jijini kutokana na hofu iliyokuwepo awali ya kufungua biashara wakati wa maandamano, hata hivyo wafanyibiashara kadhaa wanakadiria hasara chungu nzima baada ya biashara zao kuvamiwa na wahalifu wakati wa maandamano