- 55 viewsDuration: 1:35Wataalamu wa hali ya hewa wametoa tahadhari kuhusu ukame unaotarajiwa katika kaunti ya Kajiado. Wafugaji katika kaunti hio wameonywa kuzingatia mikakati ya kukabiliana na ukame huo, ambao unaotarajiwa mwishoni mwa mwaka huu. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya