- 277 viewsDuration: 3:02Wagonjwa wanaohitaji huduma tofauti kama vile matibabu ya ugonjwa ya Saratani na Selimundu wameeleza kutoridhishwa kwao na huduma za bima ya afya ya SHA. Katika kaunti ya Kisii na Nakuru, wagonjwa wanalazimika kulipia huduma baada ya kumaliza fedha zilizowekwa kwenye bima ya SHA