8 Sep 2025 10:49 am | Citizen TV 259 views Duration: 2:18 Tume ya Kitaifa ya Jinsia na Usawa imezindua mpango wa siku mbili wa ukusanyaji wa takwimu kuhusu ukatili wa kijinsia katika jamii zilizotengwa kaunti ya Laikipia.