- 417 viewsDuration: 5:50Tunaangazia masaibu ya wanaodhulumiwa kimapenzi Tana River. Dhuluma za kijinsia na kimapenzi zinashuhudiwa Tana River. Kaunti hiyo ni miongoni mwa zile zenye visa vingi vya dhuluma. Serikali na mashirika yatakiwa kuongeza juhudi za makabiliano