- 3,253 viewsDuration: 3:32Wizara ya afya na shirika la msalaba mwekundu zimetoa tahadhari ya maambukizi zaidi ya ugonjwa wa mpox nchini huku takwimu zikionyesha kuwa taifa limesajili watu 401 walioambukizwa kufikia sasa. Kaunti ya mombasa inaongoza kwa maambukizi ya watu 192. Kampeni hiyo inalenga kutoa hamasisho kwa umma kuhusu ugonjwa wa mpox. Francis Mtalaki anaarifu kutoka Mombasa.