9 Sep 2025 2:04 pm | Citizen TV 628 views Duration: 51s Kikosi cha walengaji shabaha 35 wa Mombasa Rifle club wamekabidhibiwa bendera ya Taifa wanapotarajiwa kuondoka nchi kuelekea Afrika kusini kushiriki mashindano ya dunia yatakayoanza tarehe kumi na sita mwezi huu wa Septemba