Mark Omumasaba ashinda medali ya pili, Tunisia

  • | Citizen TV
    882 views

    Mark Omumasaba ameshinda nishani ya fedha kwenye mchezo wa Miereka baada ya kumbwaga Johannes Brobler wa Afrika Kusini kwenye mechi ya uzani wa kilo 90 kwenye mashindano ya ufukweni ya bara Afrika mjini. Hammamet, Tunisia