Wizara ya afya kupata ithibati kuhusu ugonjwa wa malale

  • | Citizen TV
    521 views

    Wizara ya afya sasa inapania kupata ithibati kutoka shirika la afya duniani, kwa kutokuwa na ugonjwa wa malale humu nchini. Akizungumza katika kongamano la wadau kutoka sekta ya afya, afisa mkuu wa magonjwa yaliyosahaulika katika wizara ya afya Dkt. Wycliffe Omondi, amebaini kuwa utafiti umeonyesha kuwa kumekuwa na kisa kimoja tu cha ugonjwa wa malale kwa muda wa muongo mmoja